Watoto Wa Mjini Misuna Warriors Wamekubali kichapo cha mabao matano kwa bila kutoka kwa Singida Claster mchezo una ufuata ni Bingwa wa Ngao ya Jamii Manyoni Sc dhidi ya Nem Fc mchezo utakao Pigwa katika Dimba ,La Liti Zamani Namfua muda Ni Saa Kumi Kali Alasiri ,Tarehe 30/O9/2021
0 Comments