Leo kutakuwa na mchezo mmoja ambao Watoto wa mjini Singida Claster V/S Puma Fc Kutoka Wilayani Ikungi Mkoani ,Mchezo huo utapigwa katika dimba la Bombadia zamani Peoples.
Twenzetu Bombadia tukacheki pasi kutoka kwa mafundi wa Ikungi wakipambana na Watoto wa Mjini Singida.
0 Comments