Afisa Habari na msemaji wa chama cha mpira mkoa wa Singida Bw.Abdul Bandola alipatafulusa kutembelea na kuona mazoezi ya Manyoni Sc katika Uwanja Wa Jumbe na baada ya mazoezi aliweza kuzungumza na mwalimu wa timu Hiyo . 

Picha Afisa Habari(SIREFA) na Kocha wa Manyoni Sc Wakiwa na Badhi ya Wachezaji Wa Timu Hiyo
0 Comments