Hospitali ya Zener D Iliyopo Stendi Ya Shimoni Wilayani Manyoni Mkoani Singida Inapenda Kukutangazia kuwa tarehe 25 na 26 ya mwezi wa tisa mwaka huu, watakuepo Madactari Bingwa Kutoka Hospitali ya Muhimbili na Benjamini Mkapa.
Ni Madactari Bingwa wa Magonjwa ya Aikina Mama ,Watoto,Meno,Sikio,Pua Na Kinywa(Koo), Gharama za kuwaona Madactari ni Shilingi 2000|= Tu,
Kupima Presha na Kisukari ni Bure.
Karibu Kwa Ushauri Na Tiba.
Kwa Mawasiliano:Piga No 0654756373
Na bandolamedia.co.tz
0 Comments