Recent-Post

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GEITA GOLD REFINERYWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa. wakipata maelezo kutoka kwa Rais wa Muungano wa Wachimbaji Wadogo Tanzania, John Mbina (wa tatu Kulia) wakati alivyojionea kazi ya usafishaji wa madini ya dhahabu unavyofanywa na wachimbaji wadogo katika banda la Shirikisho hilo kabla ya kufungua Maoneosho ya Nne ya Tekinolojia ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini, eneo la Bombambili Mjini Geita, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sarah Masasi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa viwanda cha kusafisa Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha Mjini Geita, Ahmet Lyal (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda hicho, Sarah Masasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments