Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Benedicto Kalumuna ambaye ni afisa kutoka Sido juu ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Sido wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,202
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akishuhudia namna bora ya ufugaji wa vifaranga kwa kutumia Keji maalum wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maenesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango mke wa Makamu wa Rais (wa katikati) pamoja na Theobali Sabi ambaye ni mjasiriamali. Sept 22,2021Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Gisela Dennis ambaye ni afisa masoko wa kampuni ya Deve inayojishughulisha na uuzaji wa vifaa vya Hospitalini wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,2021Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Salvatory Mwinula mjasiriamali ambaye ni fundi wa kutengeneza mitambo ya kufua umeme wa kuangulia vifaranga wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,2021Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akiwasili katika uwanja wa Umoja mjini Kasulu mkoani Kigoma kwaajili ya kuzindua maonesho ya tatu ya Sido kitaifa. Sept 22,2021.
0 Comments