MAPICHAPIPICHA SIMBA WAKISAINI DILI JIPYA

KLABU Ya Simba leo Septemba 21 imeingia na kampuni ya Emirate Aluminium Profile ikiwa ni kwa ajili ya Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

Hapa ni matukio katika picha katika shughuli ambayo imefanyia Sinza kwenye duka la Vunja Bei

Post a Comment

0 Comments