Recent-Post

MKUDE AREJESHWA KATIKA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA TANZANIA

Jonasi Mkude arejeshwa katika Kikosi cha Timu Ya Taifa Baada ya kukosekana kwa Muda sasa na hasa baada ya kuwa na migogoro na waajiri wake Simba ,Sababu hiyo ilimpelekea Mkude kutoonekana kiwanjani kwa Muda na baada ya kumalizina na timu yake Mkude alirejea Kiwanjani na kuwasha mota kama kawaida yake na sasa amijumuishwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania. 

                                      Na bandolamedia.co.tz

Post a Comment

0 Comments