Leo kutakuwa na michezo miwili katika dimba la Liti Kutakuwa na mchezo Mtamaa Fc V/S Puma Fc
Na Katika dimba la bombadia zamani Peoples kutakuwa na mchezo Leylembwe Fc V/S Arena Fc
Na haya ni matokeo ya Jana katika Dimba La Bombadia kulikukwa na amchezo wa kukata na shoka kati Bufalo Fc V/S Nyuki Fc , Bufalo Fc walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5 kwa 1
Mabao ya Bufalo Fc yalifungwa na
Shabani alifanikiwa kufunga mabao 2
Yohana Msita golikipa bao 1 kwa mkwaju wa penalti
Domi Straiker Bao Mmoja
Medy Full Back Bao Mmoja baada ya Kupiga Kona Na kuingia Nyavuni.
*Klabu zifike saa moja kabla ya Mchezo.
*Kikao cha kitaalamu kitafanyika saa 4:00 Asubuhi kila siku ya mchezo ofisi za SIREFA wanao paswa kuhudhulia ni Meneja,Kocha,Daktari , Mchua Misuri,, Na Mtunza Vifaa.
* Kuchelewa kwa klabu mchezoni ni Faini
*Kutokuhudhuria Pre match meeting ni Faiini
*Clabu zote ziwe na makocha wa wakuu wenye vyeti vya awali au zaidi.
*Dirisha Dogo itakuwa tarehe 20-09-2021 na Gharama ya kila mchezaji anayeongezwa ni shilingi 5,000tu.
bandolamedia.co.tz
0 Comments