NAIBU KATIBU MKUU (BARA) AKIENDELEA NA ZIARA YAKE MCHEMO, NEWALA MKOANI MTWARA

 


Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 3 tawi la Mchemo, Kata ya Mchemo, Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)Mbunge wa Jimbo la Newala Vijijini ndugu Maimuna Salumu Mtanda akihutubia wakazi wa shina namba 3 tawi la Mchemo, Kata ya Mchemo, Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)


Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wataalamu mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)


 Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akikagua moja ya darasa katika Shule ya Sekodari Mpotola ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. . (Picha na CCM Makao Makuu)


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments