NAIBU KATIBU MKUU CCM KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA USHETU LEO

:Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama Ndugu Thomas Muyonga (kulia)mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga. (Picha na CCM Makao Makuu)

 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Kahama mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga. (Picha na CCM Makao Makuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments