Recent-Post

PICHA MBALI MBALI ZA VIONGOZI, WANANCHI ,WANASIMBA WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA HANS POPPE VIWANJA VYA KARIMJEE LEO JIJINI

 


Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO), Barbara Gonzalez akisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wananchi wakiwepo wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, menejimenti ya Simba na mashabiki wakisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe katika viwanja vya Karimjee. Post a Comment

0 Comments