Recent-Post

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA MHE.TONY BLAIR IKULU CHAMWINO

 

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 29,2021. PICHA NA IKULU.

Post a Comment

0 Comments