Recent-Post

Rais Samia Awasili New York Nchini Marekani Kuhudhuria Mkutano Wa 76 Wa Baraza Kuu La UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021.


 

Post a Comment

0 Comments