Recent-Post

RATIBA YA NNE BORA LIGI YA MKOA SINGIDA MSIMU WA 2021/2022

Timu zilizofanikiwa kutinga hatua ya Nne Bora Katika Ligi Ya Mkoa Singida Msimu Wa 2021/2022 Ni  kutoka Kundi A"Singida Cluster Fc
Kutoka Kundi B" Manyoni SC   
Kutoka Kundi C"Misuna WARRIORS FC
Best Looser Nem Fc
Chama cha mpia mkoa wa Singida Kina watakia maandalizi mema 


                                        Na      bandolamedia.co.tz

Post a Comment

0 Comments