SIMBA DAY: SIMBA YAPOTEZA 0-1 TP MAZEMBE

 MCHEZO umekamilika Uwanja wa Mkapa na Simba imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa kirafiki.

Zimeongezwa dakika 4

Dakika ya 86, Duncan Nyoni anaingia anatoka Tshabalala anatoka Kapombe anaingia Baka

Dakika ya 85 TP Mazembe wanapachika Gooooal baada ya Manula kutoka akiokoa linapachikwa na Baptise Jean.

Dakika ya 79 Mkude anaingia anatoka Kanoute 

Dakika ya 79 Kagere anaingia anatoka Bwalya

Dakikabya

Dakika ya 76 Simba wanapeleka mashambulizi TP Mazembe 

Dakika ya 67 Bocco anaingia anatoka Mugalu

Dakika ya 62 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 59 Mugalu anachezewa faulo

Da


kika Ya 57 Morrison anatoka anaingia Sakho, anatoka Kibu anaingia Banda

Dakika ya 55 Kibu anafanya jaribio linakwenda nje ya langoUWANJA wa Mkapa

Simba Day

Mapumziko 

Simba 0-0 TP Mazembe

Dakika ya 44 Manula anaokoa hatari katika eneo lake 

Dakika ya 42 Sakho anaokoa hatari inakuwa kona

Dakika ya 40 Mbari wa TP Mazembe anaonyeshwa kadi ya njano kwa kile mwamuzi alichotafsiri kuwa amejiangusha ndani ya 18

Dakika ya 36 Sakho anacheza faulo inapigwa inaokolewa na Manula

Dakika ya 31 Kibu anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 29 Lwanga anachezewa faulo

Dakika ya 26 Mugalu anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 iliyotengenezwa na Kapombe

Dakika ya 22 TP Mazembe wanapata kona inaokolewa na Manula

Dakika ya 22 TP Mazembe wanaanua majalo yaliyomwaga na Kapombe

Dakika ya 19 Kibu anaotea na shuti lake linakwenda nje

Dakika ya 17 Lwanga anacheza faulo 

Dakika ya 14 Kibu Dennis anazidiwa ujanja na nyota wa TP Mazembe 

Dakika ya 11 Morrison anapiga faulo ya kwanza inaokolewa 

Dakika ya 9 Manula anaokoa ndani ya 18

Dakika ya 8 Simba wanakosa ndani ya 18

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments