Recent-Post

SINGIDA CLASTER YAANZA LIGI KWA KISHINDO MKOANI SINGIDA

Ligi daraja la tatu mkoani Singida imeanza kwa kuzikutanisha Timu nne katika viwanja vya Liti na Bombadia mkoani Singida Katika kiwanja cha Namfua kulikuwa na timu ya Singida Claster na Mtamaa Fc matokea Singida claster 4-Mtaa Fc 0 na Katika kiwanja cha Bombadia Puma Fc 0-Home boys Fc
                           Kikoso cha Singida Claster 

                            
     Waamuzi wakiongea na capteni wa Claster na mtamaa fc 
   Benchi la ufundi kwa Upande wa timu ya  Singida Claster

Ligi hiyo itandelea leo kwa kuzitanisha  Katika Dimba La Liti Manyoni Sc. na Arena Fc na katika dimba la Bombadia Leylembwe Fc Galaxy Fc.
 

Post a Comment

0 Comments