Recent-Post

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA MWENYEKITI TANZANIA CENTRE FOR DEMOCRACY NA MKURUNGENZI MTENDAJI VUNJABEI GROUP

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tanzania Centre for Democracy, Mhe. Zitto Kabwe alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Tanzania Centre for Democracy, Mhe. Zitto Kabwe alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021, kulia ni Mtendaji Mkuu wa Tanzania Centre for Democracy, Bw. Lawrence Malawa.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VunjaBei Group, Fred Ngajiro alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi ya jezi ya timu ya Simba Sports Club kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VunjaBei Group, Fred Ngajiro alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments