matokeo ya tarehe 8 /09/2021 katika dimba la Bombadia Nem Fc 4 Mtamaa Fc 0
Tukutane Siku Ya tarehe 9//O9/2021 Katika dimba la Bombadia Singida Claster watamenyana na Puma Fc katika dimba la Bombadia na tutakuwa na mechi mmoja tu katika siku hiyo.muda ni saa kumi kamili alasili.
0 Comments