Recent-Post

WATOTO WAMJINI KUANZA KUSAKA NAFASI YA UBINGWA WA MKOA SINGIDA LEO, KATIKA DIMBA LA LITI ZAMANI NAMFUA, MSIMU WA 2021/2022

Singida Cluster watakuwa wenyeji wa Missuna Worriors katika mchezo wa leo utakao chezwa katika dimba la Liti Zamani Namfua
Muda Wa mchezo utaanza saa kumi kamili alasiri na maadalizi ya mchezo yamekamilika baada ya pande zote kufika na kukubaliana kwa kuzingatia kanuni  katika kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za chama cha mpira mkoa Wa Singida (SIREFA)
           Na bandolamedia.co.tz

 

Post a Comment

0 Comments