Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Singida Dr. Denis Nyeraha Akishilikiana na Kamati Tendaji ya Uvccm Taifa kuendelea kusaka kura za chama cha mapinduzi CCM Katika Jimbo la Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.
Tazama picha za Kamati Tendaji ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa wa wakiendelea kutoa sera na kumnadi Mbunge wa CCM Katika Jimbo La Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Picha Na Dix Makao Makuu UVCCM
Dr. Denis na Kamati tendaji ya UVCCM Taifa Wameendelea kupita Mtaa kwa mtaa Katika Jimbo la Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wakiendelea kutoa sera na kuelezea vitu mbali mbali vilivyopo kwenye ilani ya chama cha Mapinduzi CCM Na vilikwisha fanyika katika maeneo mbali mbali katika Jamii.
Na Mwandishi Wetu Abdul B Ramadhani
0 Comments