MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem, baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem wakipeana mikono baada ya Makamu wa Rais huyo kukabidhiwa zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, jijini Dodoma.Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia (WB) Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wakiteta jambo, baada ya Makamu wa Rais huyo kumaliza ziara yake nchini.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem, baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimuongoza mgeni wake Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem, alipokuwa akiondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma, baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania. Mbele ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bi. Mara Warwick.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem, wakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, baada ya Makamu wa Rais huyo kumaliza ziara yake nchini Tanzania.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments