Mwenyekiti Wa Uvccm(M) Singida Cde. Dr. Denis Nyiraha Na Kamat Ya Utekelezaji Ameendelea Na ZiaraKatika Wilaya Ya Mkalama Katika Kata Ya Nduguti Ambapo Amekabidhi Nondo 10 Zenye Thamani Ya 280,000 Kwaajili Ya Kufunga Lenta Kwenye Nyumba Ya Katibu Uvccm (W) Kisha Kata Ya Nkalankala Ambapo Amekagua Mradi Wa Vijana Wanufaika Wa 4% Za Halmashauri Waliopewa 5,000,000 Kwaajili Ya Ufugaji Wa Ngombe Wa Nyama Na Kutembelea Miradi Minne Ya Serikali.
Mwenyekiti Alihitimisha Ziara Wilayani Mkalama Kata Ya Nkito Kwa Kufanya Mkutano Wa Hadhara Na Kuwaeleza Wananchi Mchanganuo Wa Mgao Tshs. 2.7b Zilizopelekwa Na Mh. Rais Samia Hassan,,,, Mwenyekiti Amewambia Huu Ni Mwanzo Wa Msimu Wa Mvua Ya Maendeleo Toka Kwa Serikali Ya Ccm Ikiongozwa Na Mh. Samia S. Hassan
0 Comments