Recent-Post

RAIS SAMIA AKIAGANA NA WANANCHI WA ARUSHA BAADA YA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wananchi wa Arusha mara baada ya kuhutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo tarehe 17 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.PICHA NA IKULU 

Post a Comment

0 Comments