Rais Samia Azungumza Kwa Njia Ya Mtandao Na Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni Ya Royal Dutch Shell Ya Uholanzi

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell plc yenye Makao Makuu yake Nchini Uholanzi Bw. Ben Van Beurden, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 04 Octoba 2021

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments