TAMISEMI WANG'ARA MASHINDANO YA SHIMIWI YALIYODHAMINIWA NA AGRICOM AFRICA LTD.

 

TAMISEMI wang'ara kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa Ltd

Afisa masoko na mauzo wa Agricom Africa Ltd Mr Mathias akiwa na mteja katika uwanja wa Jamhuri baada ya mteja kuinunua Kwa of a maalumu ya kipindi hiki cha mashindano ya SHIMIWI.

TAMISEMI wakiwa anafurahia ushindi wa riadha katika mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa LtdTUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments