Dr. Denis Nyiraha ameeleza kuwa Raisi wa Jamuhuli ya Mungano Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassani amesema mafuta yashuke kwani ilikuwa na uchumii kwa wananchi nilazima mafuta yawe chini
Kauli hiyo amesema wakati akimnadi mgombea wa CCM Katika Jimbo la Ushetu wilayani Kahama Mkoani Shinyanga
Picha Na Dix Uvccm Taifa
Aidha Dr.Nyiraha amewaomba wananchi kuchagua CCM Kwajili ya maendeleo ya Taifa na Jamii kwa Ujumla, Sababu CCM ndio wenye Ilani Inayotekelezwa katika Nchi hii.
Mwenyekiti Wa Vijana Mkoa Wa Singida Dr. Denis Nyiraha amesema kuwa vijana ndio uti wa Mgongo wa Taifa na jamii kwa ujumla ,kwani vijana ndio nguvu kazi katika taifa lolote.
bandolamedia.co.tz
0 Comments