Recent-Post

WANANCHI WAMETAKIWA KUJITOKEZA NA KUSHIRIKI KATIKA MIRADI MBALI MBALI INA...

Dr.Denis Nyiraha Mwenyeiti UVCCM (M) Mkoani Singida
                    
Mwnyekiti wa UVCCM Mkoani Singida Dr. Denis Nyeraha na Kamati Ya Utekelezaji Wameendelea na Ziara Ya Kutembelea  Miradi mkoani  Singida   na kuwaasa Wananchi Kujitokeza katika shughuli mbali mbali katika ujenzi wa Miradi Inayoendelea kujengwa  Hapa Nchini 

                  
Kamati Tendaji Ya Vijana  (VCCM)  Mkoan Singida Kwa Kushirikiana na  Mkuu Wa Wilaya  Ya Ikung,i Bw Jerry Muro Wameendelea kutembelea miradi mbali mbali katika Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.  

          Mkuu Wa Wilaya Ya Ikungi  Bw. Jerry Muro Amewahakikishia wananchi Wa Ikungu kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya  Mungano Wa  Tanzania  Mama Samia Suluhu Hassani amesha waangizia pesa Katika Miradi mbali mbali Inayoendelea Wilani Humo. 

Mkuu Wa Wilaya Ya Ikungu MH:.Jerry Muro
           

Na Abdul Bandola ( Singida)

Post a Comment

0 Comments