Recent-Post

Bernard Morrison aishinda Yanga SC baada ya CAS kutupa rufaa, ni halali kwa Simba SC

Mchezaji Bernard Morrison ameishinda Klabu ya Yanga SC baada ya CAS kutupilia mbali rufaa ya Yanga kuhusu hukumu iliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF kuwa mkataba wa Morrison na Yanga ulikuwa na mapungufu hivyo ni mchezaji halali wa Simba SC.

Post a Comment

0 Comments