Recent-Post

KATIBU MKUU WA CCM NA UJUMBE WAKE WAWASILI MKOANI GEITA

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo  akipokelewa Chato, mkoani Geita kwa heshima ya Chama na Vijana wa Chipukizi akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo  akivishwa skafu kama ishara ya mapokezi na Vijana wa Umoja wa Vijana shupavu  mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka  2020-2021. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo  akipita mbele ya vijana shupavu wa Umoja wa Vijana mara baada ya kupokelewa Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka  2020-2021.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo  akisalimiana na Viongozi wa CCM mkoani Geita mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka  2020-2021.

 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, Chato mkoani Geita. (Picha na CCM Makao Makuu)

Post a Comment

0 Comments