KOCHA WA SIMBA SC FRANCO AONGOZANA NA VIONGOZI WA KLABU HIYO KATIKA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA BARBARA

   

***************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Wanamichezo mbalimbali wakiongozwa na viongozi wa klabu ya Simba wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya mama yake mzazi wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Sc Barbara Gonzalez aitwaye Rhoda Yahya Lambert yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu Jijjini Dar es Salaam.

Miongoni mwa viongozi ambao wameshiriki katika mazishi hayo ni pamoja na kocha mpya wa klabu hiyo Pablo Franco akiongozana na kocha msaidizi Thierry Hitimana pamoja na viongozi wengine.

Msiba ulitokea leo asubuhi nyumbani kwake Kigamboni JJijini Dar es Salaam

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments