MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA SINGIDA BW.HAMSI KITILA AMETEMBELEA KIWANJA CHA LITI NA KUTAZAMA MABORESHO YANAYOENDELEA KATIKA KIWANJA HICHO

Bw. Hamisi Kitila Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoani Singida  leo ametembelea Kiwanja cha Liti Zamni Namfua na kutazama kazi ikiendelea kiwanjani hapo ,Katika maeneo ya kuchezea na baadhi ya majukwa yakiendelea kufanyiwa marekebisho.
Bw. Kitila amezungumza na Wafanyakazi Wanaoendelea kutengeneza Kiwanjani hapo  na kuwapa hongera kwa kazi inavyoendelea kufanyika kiwanjani Hapo

 Na Abdul B Ramadhani

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments