RAIS SAMIA AMUAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO NA KUONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Pereira Ame Silima kuwa Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Visiwa vya Comoro leo tarehe 07 Novemba, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.

  

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyokutana leo tarehe 07 Novemba, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments