Recent-Post

SMALL BOYS MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO(FA) MKOA WA SINGIDA MSIMU WA 2...

Mkuu Wa Wilaya ya Mkalama Bi Sophia Kizigo Amewaambia wawakilishi wa Mkoa Wa Singida Baada ya kuwa Mabingwa Wa mkoa Wajui Wamebeba dhamana kubwa Ya  Mkoa  Katika Mashindano Ya Kombe La Shirikisho Kwahiyo Hawana Budi Ya kubambana Kwa Nguvu Zote Ilikuendelea kujenge Heshima Kubwa Kitaifa na Kimataifa.
Aidha Mkuu Wa Wilaya Ya  Mkalama  Bi Sophia Kizigo amewaomba Wadau kujitokeza ilikusaidia timu zote zitakazo kuwa zinawakilisha mkoa ilikuendelea kupambana kwajili ya Taifa na jamii  Kwa Ujumla.

Small Boys Mabingwa Wa Kombe La (FA) Mkoa Wa Singida Msimu Wa 2021/2022.
Na  Mwandishi Wetu Bandola.co.tz

Post a Comment

0 Comments