CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA SINGIDA (SIREFA)KIMEFANYA MKUTANO MKUU WA ...

                           
Mkutano Mkuu Wa Kawaida Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida Uliofanyika Kwa  kuzingatia Kanuni Na Kufanya Uchaguzu Wa Nafasi zilizo kuwa wazi  Za Wajumbe Na Muweka  Hazina (MUHASIBU), Mwenyekiti Wa  Chama  Cha mpira Wa miguu Mkoa Wa Singid Bw. Hamisi Kitila  Amewashukulu Wa jumbe na Wadau Mbali Mbali  Kwa Kushilikiana Na Serikali Kwa Kuendeleza Michezo Mkoani Singida 
                       
                            
Aidha Mwenyekiti Bw. Kitila  Ameeleza Kuwa Vyama Vya Wilaya  Kuendeleza Mshikamano Na Wadau Wa Soka Na Serikali Kwa Kupeana Muongozo Na Ratiba Mbali Mbali Za Shughuli Za Michezo Kwajili Ya Kufanya Kazi Pamoja Na Kuendeleza Michezo Kwajili Ya Jamii Na Taifa Kwa Ujumla.

Post a Comment

0 Comments