Mkuu Wa Mkoa Wa Singida Dkt. Binilith Mahenge Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Mpindizi Alhaji Juma Kilimba Walifika Kiwanjani Ilikutatua Changamoto Zilizopeleka Kazi Kusimama Katika Marekebisho Yanayoendelea Katika Kiwanja Cha Liti Zamani Namfua.
Baada Ya Kutatua Changamoto Hizo Mkuu Wa Mkoa Dkt. Mahenge Wakiwa Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Alhaji Kilimba ,Walioambatana Na Meya Wa Singida Manispaa Bi Yagi Kiaaratu Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singiga Bw. Hamis Kitila,Baada Ya Kuwasikiliza Wataalam Wanaendelea kufanya Kazi Katika Kiwanja Hicho Walisema Ifikapo Mwezi Wa Pili Kiwanja Kitakuwa Tayari Kwa Matumizi
Na Mwandishi Maalum
Na Mwandishi Maalum
0 Comments