Recent-Post

LEO NDIO LEO SHANGWE LA MPIRA WA MIGUU LA HAMIA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Baada Ya Mapambano Ya  Mda Mrefu Katika Mashindano Ya Mtatulu Cup Leo Ndio Atapatikana Bingwa Wa Mashindano Hayo Mbele Waziri Wa Sanaa Na Utamaduni na Michezo Innoccent Bashungwa,Fainal Hiyo Itachezwa Leo Katika  Dimba La Secondary Ya Ikungi Mkoani Singida.

Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkaoni Singida (SIREFA) Kina Waarifu Wadau na Wapenzi Wa Soko Mkoani Singida Na Maeneo ya Jirani Kujitokeza katika Mchezo  Huo  Wa Fainal  Ilikujione Vipaji vilivyo Sheheni Mkoani Singida.

Na Kwa Upande Wa Timu Za Ligi Draja La Pili, La  Kwanza NA Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Ni Muda Muafaka Kwa Wakati huu Wa Dirisha Dogo  Kupata Vipaji Vipya Kupitia Mashindano Ya Mtatulu Cup.

Na Mwandish Maalum Wa Bandolamedia.co.tz


 

Post a Comment

0 Comments