MAMA MARIAM MWINYI AZUNGUMZA NA VIJANA KWA NJIA YA MTANDAO WAKATI WA MKUTANO MKUU KIVULI WA UMOJA WA MATAIFA ZANZIBAR 2021


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia njia ya mtandao  katika Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kwa mara ya kwanza wenye sura ya Kimataifa, wenye kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.(Picha na Ikulu)

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Vijana wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia kwa njia ya mtandao (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Vijana mbalimbali, ukiwa na kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji kwa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.(Picha na Ikulu.)Post a Comment

0 Comments