Recent-Post

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA SINGIDA TAREHE 31/12/2021


Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida (SIREFA)  Kitakuwa Na mkutano mkuu wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida Ambao Utakao Fanyika Katika Ukumbi Wa Singida Manispaa ,Siku Ya Tarehe 31/12/2021 ,Utaanza Majira Ya Saa Tatu Kamili Asubuhi

 Wako Abdul Bandola  Ramadhani Afisa Habari Na Msemaji Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida.

Post a Comment

0 Comments