Recent-Post

SIMBA NA YANGA WAMALIZA BILA KUFUNGANA KWA MKAPA

 

MECHI ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga imemalizika kwa sare ya bila mabao jioni hii Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa sare hiyo, Yanga SC inafikisha pointi 20 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi mbili zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC baada ya wote kucheza mechi nane.

Post a Comment

0 Comments