Recent-Post

TUNASHEHEREKEA KWA AMANI,UPENDO NA MSHIKAMANO ASEMA ALHAJI JUMA KILIMBA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SINGIDA

Mwenyekiti Wa Chama Cha  Ccm Mkoa Wa Singida  Alhaji Juma Kilimba Amewataka Wananchi Na Viongozi Kufata Taaratibu Za Nchi Katika Maeneo Mbali Mbali ili kuendeleza na Kudumisha Amani,Upendo Na Mshikamano Mkoani Singida.

Alhajin  Kilimba Amesema Hayo Wakati Akiongea Na Bandolamedia.co.tz  Leo Ofisi Kwake

Aidha Alhaji Kilimba amewaomba Wananchi Kuwa Makini Katika Sikukuu hizi Za Mikesha, na Kuendelea kuzingatia taratibu na Miongozo mbali Mbali itakayo kuwa inatolewa na Viongozi Katika Maeneo Yetu Tunayoishi.

Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Singida Alhaji Juma Kilimba Anawatakia Wananchi Wote Wa Mkoa Wa Singida  Na Tanzania Kwa Ujumla, Sherehe Njema Na Tukiwa Katika Sherehe Hizi Za  Mwisho Wa Mwaka Tusisahau Kujikinga Na UVIKO,Pia CCM IMARA KWA WATU WENYE AFYA SALAMA

 Na Mwandishi Wetu Maalum

Post a Comment

1 Comments