UJAMAA TEN GROUP WAMEMZAWADIA MEYA WA KWANZA MWANAMKE MANISPAA YA SINGIDA

Picha Na Revocatus Phinias
                        
Wanakikundi wa kikundi cha Ten Grroup wakikabidhi zawadi kwa Mstahiki Meya wa Manispaa Bi, Yagi Kiaratu,Wakati wakifunga Mwaka Wa 2021
                 
Bi Yagi Kiaratu Amewaasa Wanawake Kijitokeza Katika Kugombea  Nafasi Mbali Mbali  Kwenye Chama Na Serikali ili Wanawake Wengi Wawepo Katika Sehemu Ya Maumuzi Kwajili Ya Manufaa Ya Taifa Na Jamii Kwa Ujumla.
 Bi Kiaratu  Amesema Hayo Leo Wakati Wa Sherehe Za Kitimiza  Mwaka  Katika Kikundi Cha UJAMAA TEN GROUP 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments