UKAGUZI WA MADARASA IKUNGI MKOANI SINGIDA NA MKUU WA WILAYA BW.JERRY MURO

Kamati ya usalama wilaya ya Ikungi imeridhishwa na kazi ya ujenzi Wa vyumba vipya vya madarasa 130 kwa ajili ya shule za secondary Na shule shikizi za msingi.
                  
Akizungumza mara baada ya kuhitimisha ziara ya Ukaguzi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Bw. Jerry C. Muro amesema wameridhishwa na kazi ya ujenzi Kwa kuzingatia vigezo vya muda wa ujenzi, viwango vya ubora wa ujenzi na thamani ya fedha Iliyotumika.

 Mkuu Wa Wilaya  ya Ikungi Bw. Jerry  Muro Amesema tayari baadhi ya vyumba Aimeshakamilika na wataanza kuvipokea kuanzia Wiki ijayo katika maeneo mbalimbali Yanayotekeleza miradi hiyo.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments