WANAFUNZI WASIZIWILIWE KUANZA MASOMO ENDAPO WATAKUWA HAWANA SARE ZA SHULE

                                                    
Waziri Ummy  Agizo alilolitoa kuwa wanafunzi wasizuiliwe kuanza masomo endapo hana sare ya shule lina lengo la kuondoa vikwanza vinavyoweza kupelekea mtoto kushindwa kuanza masomo yake kwa wakati.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara yake kwenye Manispaa ya Singida kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo zinazotekelezwa katika Halmashauri hiyo.
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments