WANANCHI WALIPWA ZAIDI MILIONI 200 WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA XMASS

        
     
Akizungumza wakati akikabidhi hundi hizo kwa wananchi, Mkuu wa wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro amewashukuru wananchi kwa kumuamini na kumuachia jukumu la kusimamia zoezi la uthamini wa mwanzo mpaka kufikia kupatikana kwa malipo
               
Kwa upande wao wananchi ndugu wa familia 4 za Sawa wameishukuru serikali kwa kusimamia mwanzo wa zoezi mpaka kumalizika kwa wao kulipwa fedha zao ambazo zitawasaidia kipindi cha sikuu za Christmas na mwaka mpya pamoja na kugharamia shughuli za masomo kwa wanafunzi wao mwezi january

Hata hivyo katika utoaji wa hundi hizo familia mbili za Said Jumanne Hamis na mama Amina mohamed mghenyi hazikujitokeza kuchukua hundi zao zenye thamani ya milioni 41 kwa familia zote mbili.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments