Recent-Post

CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

 


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Januari, 2022 katika Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dodoma.


Imetolewa na;


Said Said Nguya

Afisa Habari

Ofisi ya Katibu Mkuu

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Post a Comment

0 Comments