Recent-Post

CHONGOLO ATEMBELEA BANDARI YA MKOANI KUSINI PEMBA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo juu ya shughuli za bandari ya Mkoani kutoka kwa Mkurugenzi wa Bandari hiyo Ndugu Abdullah Salim Abdullah ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)
Post a Comment

0 Comments