Recent-Post

Dirisha la usajili 2021/2022 lafungwa rasmi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefunga rasmi dirisha dogo la usajili msimu wa 2021/2022.

Ni kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite.

Kwa mujibu wa Afisa Habari na Mawasiliano wa TFF,Cliford Ndimbo kwa sasa hakutakuwa na muda wa ziada kwa upande wa usajili na uhamisho.

Post a Comment

0 Comments