LIGI YA WANAWAKE MKOA WA SINGIDA KUENDELEA WIKIEND HII KATIKA DIMBA LA MWENGE SECONDARY

Ligi Ya Wanawake Mkoa Wa Singida Kuendelea Wekend Hii Katika Kiwanja Cha Mwenge Secondary Kuanzia Majira Ya Saa Nane Mchana ,Mechi Ya Pili Itachezwa Saa Kumii Kamili Jioni .(WADAU KARIBU KUTIZAMA VIPAJI VIKUBWA VINAVYOONEKANA KATIKA LIGI HII) 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments