Recent-Post

NDANI YA SIKU 50 NDUGAI AMETOA KAULI TATU ZINAZOKINZANA.

           Ndani Ya Siku 50,Ndugai Ametoa Kauli Tatu Zinazokinzana; Mosi Ya Kumpongeza Mh. Rais Kwa Fedha Za IMF-Uviko,Pili Kupuuza Mchango Wa Ujenzi Wa Taifa Kwa Hofu Ya 2025,Tatu Kuomba Radhi Kwa Kudai Alikuwa Hajui Alitendalo. Kama Hajui Alitendalo Basi Hatuna Uhakika Kama Atakuwa Na Kumbukumbu Sahihi Za Kuongoza Bunge"

Kauli Hiyo Imesemwa na Mwenyekiti Wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Singida Wakati Akiongea Na Bandolamedia.co.tz   Leo Ofisi Kwake

Ni Ulevi Wa Madaraka Ya Ndugai Ndo Maana Anawaza 2025,Ndani Ya CCM Viongozi Hupikwa/Huandaliwa Na Chama Na Si Kujipanga Kuwa Kiongozi Au Rais.
Ulevi Huu Hauna Afya Tena Ndani Ya Serikali Ya Awamu Ya Sita Chini Ya Mh. SSH"

Kwa Hutuba Ya Raisi Jana Ama Hakika Imempambanua Na Kuonyesha Ni Kwa Namna Gani Tunaye Raisi Bora Anayeishi Katika Nafasi Za Wananchi Wake ,,,Sisi Vijana Tutaendelea Kukuunga Mkono Na Kukuombea Utende Zaidi Na Zaidi
Dr. Denis Nyiraha
M/kt Uvccm (M) Singida

Post a Comment

0 Comments